Tafuta katika Blogu Hii

Jumatatu, 19 Januari 2015

Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae..



By. Bongoplanet Media Group
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee 
mfano;

1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu 
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu 

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa. 

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks 

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

Je, unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia

Hakuna maoni: