MKIANIA.COM. Ndoa
ya wizi Khalifa na Amber Rose ilishafika mwisho na kupeana talaka,
lakini tofauti na mastaa wengi, mambo yao wameyaweka kibindoni na
kutokuyaongelea hadharani.
Lakini
inaonekana kwa sasa uhusiano wao kama wazazi unaonekana kushindwa
kuelewana kwasababu Wiz Khalifa ameingia mtandao wa twitter na kuongea
juu ya story kuwa hatengi muda wa kutumia na mtoto wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni